2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kocha wa Ivory Coast anastahili lawama kwenye hii mechi.

Haiwezekani Amad Diallo ambaye tangu game ya kwanza amekuwa na super performance, leo hii umuweke benchi.

Ivory Coast ilionesha mikakati ya goli kupatikana baada ya sub ya Diallo kufanyika.

Hii ina maanisha Diallo angeanza kulikuwa na uwezekano mkubwa hii mechi isingeisha kwa matokeo mabaya, hususan ukiangalia nafasi zilizokuwa zinatengenezwa kipindi cha kwanza.
 
Back
Top Bottom