uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,802
- 31,340
- Thread starter
- #8,341
🤣🤣🤣 wachache tu ndio wana hope nao.Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegal
Japo kabla yakuanza mashindano haya Hakim alizungumza sana juu ya wao kuwa Waafrica.
Hapa tushabikie ball tu.
Hata Uholanzi kuna Waafrika kibao