Yani.....Wamekosa nafasi ya Wazi kabisa
Umaliziaji ni tatizo kwa timu za Africa....Wamekosa nafasi ya Wazi kabisa
Huyo mbwa hua anaonekana kwenye moment ambazo huzitegemei. Unabaki unaliaSijamuona haaland! 😝😝
Akitoka mafichoni waafrika mtalia vibayaHidden 🫥