Nishatoka sebuleni nipo kwa bed game imepooza nitaona update hapaUsijali kipindi cha pili mabao yatakuwa mengi utachoka wewe
Aaah sasa kupaki basi kwasababu gani hawa Paraguay?hovyo kabisaKipindi cha pili ndo timu za hovyo zinapopigwaga
Sawa enjoy kwa bedNishatoka sebuleni nipo kwa bed game imepooza nitaona update hapa
🔥🔥Sawa enjoy kwa bed
Wanataka counter attackAaah sasa kupaki basi kwasababu gani hawa Paraguay?hovyo kabisa
Kiungo punda kama shweinziteigerUjerumani hawana mabeki kabisa
Nimekumbuka enzi za Jerome Boateng, Mats Hummels, Per Mertesacker unapigaje kichwa huru mbele ya hao jamaa
Nyakati zimekwenda wapi?
Na Philipp LahmUjerumani hawana mabeki kabisa
Nimekumbuka enzi za Jerome Boateng, Mats Hummels, Per Mertesacker unapigaje kichwa huru mbele ya hao jamaa
Nyakati zimekwenda wapi?
Hatari sanaNa Philipp Lahm
Sema leo watashinda ila game ijayo na Ufaransa ndio mwisho waoHatari sana
...Paraguay anapigwa sio chin ya goli 4, mjeruman hua akipata kibonde anakibonda kweli kweli