Leo watakuwa na nguvu za usafi kweli?Washaanza kufanya usafi au bado bado?
Pole sana, kwa hio timu ipi umeweka matumaini yako kwa sasa?Daah Iran na Japan zimeniuma sana kutolewa.View attachment 3618678
Labda uzoefu ila sio jinaTimu zote mbili zilikuwa na nafasi.
Brazil uzoefu na jina vimewabeba
Nilijua ataingia, sa pale alikuwa anapasha nn?Niliona Fabrizio akim quote Ancelot kuwa "Neymar ameimarika hivyo anastahili kucheza dakika zaidi ya 15"
So nikajia atampa hiyo nafasi acheze.
Team Messi huyo, huko kwengine anadoji tuPole sana, kwa hio timu ipi umeweka matumaini yako kwa sasa?
Kuleta hamsha hamsha sii unajua watu wanampenda bitoziNilijua ataingia, sa pale alikuwa anapasha nn?
Wewe tunajua ni team Brazil...Team Messi huyo, huko kwengine anadoji tu
Jeen katoka mganga hoiShughuli ilikuwa pevu
Mm shida yangu ni kua hua ninazionea huruma timu zikifungwa. Ila timu zangu rasmi ni Spain na ArgentinaPole sana, kwa hio timu ipi umeweka matumaini yako kwa sasa?
Offside gani tena mzee🤣Mbona kama offside?
Kutambo sana, tangu enzi za kina Kaka na Cuf, those days....dahWewe tunajua ni team Brazil...
Angel acha hivo japo nipe poleTeam Messi huyo, huko kwengine anadoji tu
Haswaa.Jeen katoka mganga hoi
Wakati ramani inachorwa wengine walikuwa wapiNaona messi wamemchagulia route fupi ya kufika fainali lakini round hii hatukubali ataishia njiani