Yap, ndio maana huwa naweka vi-clips vya highlightsUna streaming mkuu?
Nlitaka nishangae ati Brazil wasiingie hata 16Wanajua kulia hao...
Sema inauma sana
Hivi Neymar aliingia?
Japan walikuwa wamejitahidi kujilinda sana..Brazil mechi ijayo anapita ila asibahatishe hovyo kama leo.
Hebu tuambie jina limembeba vipi brazilTimu zote mbili zilikuwa na nafasi.
Brazil uzoefu na jina vimewabeba
inasikitisha sana, nimeona chozi la Samurai !Time ya viliooo. Wanyamazisheni wajapan wenu ha ha haaaaa
Niliona Fabrizio akim quote Ancelot kuwa "Neymar ameimarika hivyo anastahili kucheza dakika zaidi ya 15"Aingie kuanguka? Hajaingia
Game ijayo anakutana na Norway au ivory coast, lazima brazil ashindeIla hii team yenu ya Brazil haifiki mbali, hawako vizuri