Haya maneno anza kuyaleta ukiweza kuvuka 16 au robo
Wanetu mnaichukulia Ghana poa sana!!
Mwanetu hakuna mbaya, wewe ukishabikia Morocco na mimi nikabaki na Ghana.Unaacha kushabikia wakina hakimi unaenda na ghana kweli 😄
Sawa kabisa!!!Sawa
Morocco
Wanamaajabu gani hawa Waargentina?
Naomba kikosi Cha USA 😁😁😁
View: https://youtu.be/oOthM6YAqJY?si=NgIDkl9XhYau805_
Na timu yake imepanda na itacheza UEFA, Ac milan atacheza Europa ligue
Unataka kusema wapewe kombe au? Na Ivory coasthawa iraq mbona wanataka kutishia amani mapema hivi
Wanatishia amani kwenye game za friendly tuhawa iraq mbona wanataka kutishia amani mapema hivi
hawawezi pewa kombe bwana ila inaoneka kwenye hii worldcup kuna weza kukawa na upsets sio kama afcon amboapo underdogs wote walimbwelaUnataka kusema wapewe kombe au? Na Ivory coast
Hao Iran,Iraq, Saudi arabia, uzbekistan, haiti, panama, drc, curacao , na Jordan ni wasindikizaji tu hawawezi kushikilia bomba kwa timu zenye uzoefu na word cuphawawezi pewa kombe bwana ila inaoneka kwenye hii worldcup kuna weza kukawa na upsets sio kama afcon amboapo underdogs wote walimbwela