kambi gani tena hiyo aliyoingia jameniKvalatskhelia kaingia kambani leo mwamba ana hatari
Leo Georgia walikuwa wanacheza na Bahrain, Georgia wameshnda 2:0 huku kvaratskhelia akifunga gori mojakambi gani tena hiyo aliyoingia jameni
alright aisee bonge la player yule uefa msimu kakiwasha balaa mwanawane sii mchezo. sema ndio hivyo kazaliwa nchi ambayo world cup ataishia kuisikia tuuLeo Georgia walikuwa wanacheza na Bahrain, Georgia wameshnda 2:0 huku kvaratskhelia akifunga gori moja
View: https://youtu.be/oOthM6YAqJY?si=NgIDkl9XhYau805_
Na timu yake imepanda na itacheza UEFA, Ac milan atacheza Europa ligue
nashukuru afya inaimarika maana nilikuwa icu mwanawaneMkuu mambo yako vipi?
Kitambo sana
Icu ya mbunye au?nashukuru afya inaimarika maana nilikuwa icu mwanawane
Champion ni Senegal hao Morocco wa mezani FIFA haiwatambui.wakuu naomba kuuliza, sasa kwenye commentry z mechi za senegal watakuwa wanatambulika kama afcon champions au lah? morocco nae atatambuliza kama nani na wakati kombe hana?
Kvaratskhelia,Szoboszlai,Chalnoglou ni wachezaji wazur lakin majina yanawahukumuMwana PSG mwenye jina gumu
Sorry baadhi yao wanacheza kwenye club zipi