2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ufaransa kufungwa na Ivory coast ni kwamba ufaransa wanacheza kwa kujihadhari au ni uhalisia
Mbinu tu.

Kwasasa hii michezo wanaifanya kwa Strategy sana.

Ivory Coast kushinda 2 kwenye friend match ni kawaida.
 
Norway national team Viking style šŸ‡³šŸ‡“
IMG_0378.jpeg
 
Back
Top Bottom