Kwahiyo timu ipi unaipa?Hamna timu
Hamn kitu humo
Wanetu mnaichukulia Ghana poa sana!!Hawa wanajitekenya na kucheka
Ghana, kutoka AfricaKwahiyo timu ipi unaipa?
Ghana imekosa mchezaji wa kuleta matokeo wakati wowote hakuitwa kwasababu ya majerahaWanetu mnaichukulia Ghana poa sana!!
Panama nao hawa wana hali mbaya kwenye kundi lao
Afrika Afrika...Kila la heri wa Africa wenzangu
kazi ipoooo