Inashangaza,mtoano wapo na Argentina hahMkuu Cape Verde wamemaliza wa Pili bana.
With no ushindi wowote
Thanks to this bald guy, who cleared the pathNa Fainali kabisa hata kubeba Kombe.
Jealous πThanks to this bald guy, who cleared the path
View attachment 3616677
Bora useme wewe ofsaAmesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote
πππ Mtaumia rohoAmesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote
Vipi mkuu Hammaz Messi lakini yupo vizuriBinafsi Messi huwa simkubali, ila kwa vile ni shabiki wa mpira sikatai kwamba ni miongoni mwa wachezaji bora.
Amesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote
ππππHizi kauli za namna hii zilikuwepo pia hata kabla ya Cape Verde hawajakutana na Spain,
Vamos Cape Verde!
Uzbekistan ni Asia, alafu hili ni kombe la dunia inatakiwa kushirikishwa mabara yote haijarishi timu za mabara mengine kiwango chao vipoje? Italia ni ujinga wao.Timu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Mimi naona kapita, kwa zile goli tano tayari wenye point tatu kaishaa waacha wote by goal difference na hata wenye game moja mkononi wakitoboa wote, bado senegali ataangukia nafasi ya naneSenegal ni official kapita au kuna mchongo anauskilizia