Halafu kaja kufunga goli gumuMess kasosa clear chance😎
Ngapi ngapi mkuuFIFA Princess robbed they penalty and he missed it, we call him Pessi for a reason.View attachment 3613349
Vile ni vipimo, ukiufuata pale unatenguka nyongaAlaba kapisha Mpira😀😀
😁😁😁mtatafuta sana sababuAlaba kapisha Mpira😀😀
Saivi inaeleweka, ha ha haaaaaKuna namna game imekaa haieleweki
Mimi sio mnafiki nafikia watu..Messi anacheza na anakubali kuchezeshwa😁😁😁mtatafuta sana sababu
Hata wakitulia dozi ipo palepaleHawa Austria wasipotulia wanaongezewa dozi
😁😁😁sio meno tu, kila kituPessi fans hapo meno yote nje