Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,426
- 13,771
Tulia msagiwe na MppembaHapana timu yake ni uozo siitaki
Sorry, Mbappe
Tulia msagiwe na MppembaHapana timu yake ni uozo siitaki
SijakoseaLine ya mwisho umekosea bana
Hata Mbappe nipo upande wake piaTulia msagiwe na Mppemba
Sorry, Mbappe
HakunaaaaaaaaHawa jamaa nani atawazuia?
Senegal mapema tu...Dembeleeeeeeeeeee
Mapemaaaaaaa dadeq
Senegal ajitahidi apate goal 3+ leo ili katika zile team nane zinazopita kama best looser kutoka kwenye team 12 zilizoshika nafasi ya tatu na yeye awepoSenegal haendi mahali?
Mtaka yote kwa pupa...Hata Mbappe nipo upande wake pia
Yeye apige goli nyingii tuuu anaweza toboaSidhani maana timu zinazowania best losers zimejipanga kweli
Argentina inafika fainali. Wengine siwaoni kwa uhakika ila hao jamaa wako serious mno fainali wanafika.Mkuu kila mtu alikua anasema hivo hivo kuhusu Bayern mwaka huu, ila mm niliwabisha hawabebi uefa. Nakuambia hapa hafiki Final. Atabondwa na timu ya kawaida tu. Hua sishabikii kitu kinachopendwa na wengi ever!
Kwa hatua WC iliyofika now nabaki na timu mbili tu. Spain na Argentina naamini hawa wanaweza kufika mbali. Let see.....
Hapo labda wasifunge woteMtaka yote kwa pupa...