Ngoja wakutane na 🇳🇱 hatua ya mtoano uone nyasi zitakavyoumia.Argentina inafika fainali. Wengine siwaoni kwa uhakika ila hao jamaa wako serious mno fainali wanafika.
Imekula kwaoRed Card
Hawezi pita, ili apite timu zote tatu zilizopo juu yake zifanye vibaya🇸🇳 akishinda zaidi ya goal 3 anapita
Asante sanaGoli la Dembele
View attachment 3616528
Red Card for IraqVAR check
France ameshapiga mtu mmoja...Imekula kwao