Mturuki anaweza kupenya kwenye best loser
Tupe maoni mdau..Unaweza kuwa ni ushabiki wenye facts ndani yake.
Au kama una hoja ya msingi ambayo inaweza hata kuonesha kwanini Raphinha na Vitinha walizidiwa kwenye nafasi za Ballon Dor na Lamine Yamal unaweza kunisaidia kukuelewa.
Mimi ni shabiki wa FranceTupe maoni mdau..
Ufaransa Vs Norway...
wameshafuzu watacheza mchezo laini sana no use of energy kujiandaa na mtoanoTupe maoni mdau..
Ufaransa Vs Norway...
Hii mechi kipimo kizuri kwa France kama 'Title Contender '.Mimi ni shabiki wa France
Japo Haaland naye namkubali ila leo nitakuwa upande wa France
hawatafunganaMimi ni shabiki wa France
Japo Haaland naye namkubali ila leo nitakuwa upande wa France
Ila ime fightView attachment 3616062
Ecuador to next round
Why?...hawatafungana
Lakini siioni kama ni mechi ngumu kiivyo.Hii mechi kipimo kizuri kwa France kama 'Title Contender '.
Kwanini?hawatafungana
Norway wepesi ?Lakini siioni kama ni mechi ngumu kiivyo.
Sio wepesi watatoa ushindani mzuri ila siwaoni wakimfunga mfaransaNorway wepesi ?
Hao wote washavuka so labda iwe ni mechi ya kugombea nafasi ya kwanza tuView attachment 3616071
Hapa pamoto sana, sioni Morocco akitoboa...
Uholanzi ndio ametabiriwa kuwa bingwa.