Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Kwahyo hastahili mwanetu😂Huyu Bruno na U Man u unambeba
Finally nimegundua kwanini humkubali RonaldoHua sishabikii kitu kinachopendwa na wengi ever!
Now you know. I never doubted his talent...Finally nimegundua kwanini humkubali Ronaldo
Timu iliyokuwa inapewa nafasi kubwa kuchukua ubingwa ni SpainKwa hatua WC iliyofika now nabaki na timu mbili tu. Spain na Argentina naamini hawa wanaweza kufika mbali. Let see.....
France kila akikutana na Akina Yamal wanambonda hivohivo na kikosi chake kipanaTimu iliyokuwa inapewa nafasi kubwa kuchukua ubingwa ni Spain
Hapa ndio hata mimi nilishangaa yani Spain anapewaje nafasi ya juu kumzidi France?
View attachment 3616440
Ngoja tuone itavyokuwaFrance kila akikutana na Akina Yamal wanambonda hivohivo na kikosi chake kipana
Anyoshwe kidogo...
Thubutuuuuuuuu! Sio rahisiiiiiAnyoshwe kidogo...
Muda huongea...Thubutuuuuuuuu! Sio rahisiiiii