Hata Messi ile ya kwanza hakucheza ila aliwekwa tu kwny listLuca amecheza WC 5
2006
2014
2018
2022
2026
KabisaNa bila ujinga wa Ivory Coast ile mechi alikuwa hashindi.
Sante sana.. Hii nilisinzia kushtuka inakaribia asubuhi
Mturuki anaweza kupenya kwenye best loser