Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Ujerumani hawana timu wajinga wakubwa
Washafuzu lakiniUjerumani hawana timu wajinga wakubwa
Hawafiki kokoteWashafuzu lakini
Umehakikisha?Ecuador anaenda 32 bora kama best looser
100%Umehakikisha?
Na bila ujinga wa Ivory Coast ile mechi alikuwa hashindi.Ujerumani hawana timu wajinga wakubwa
Huku na kule muhindi anachekelea tuu kina jitu bandia wakikandwaKombe la dunia la huu mwaka halitabiriki.