Tatizo la Scars analeta ushabiki wa vilabu kwenye world cupKw
Kwamba huyu dogo ni overated!?
Ubongo wako una cancer or itakuwa haujawahi kucheza mpira ni bendera fuata upepo sio Bure 🤣🤣
Tatizo la Scars analeta ushabiki wa vilabu kwenye world cup
sie hatuangalie ulikuwa na uwezo wa kushinda tunataka ufunge hayo magoli kwa counter tuone kweli mpango mkakati wako unaweza kuukamilisha vizuri sio nusu nusuSahihi kabisa.
Lakini ile mechi ya DRC vs Ureno Wakongo walikuwa na uwezo wa kufanya attack na kushinda
Wataweza kweli? Maana hawa wanapaki bus kariakoo balaaIvory coast nipigie Hawa waholanzi mpaka nifurahi
WanapigikaWataweza kweli? Maana hawa wanapaki bus kariakoo balaa
We mwenyewe unawashabikia sababu ni Muslims wenzako,maana waislam mtu akiwa mwenzenu tu huwa mnamsapoort hata bila kuangalia uhalisia.Waafrika midomo mingi haya shabikieni Senegal sasa🤣
Achana na Morocco tunaongelea South Africa kwanzaWe mwenyewe unawashabikia sababu ni Muslims wenzako,maana waislam mtu akiwa mwenzenu tu huwa mnamsapoort hata bila kuangalia uhalisia.
Sas huyo Morocco kama anawadharau waafrika,tukae tunaishabikia ili iweje?????
Curacao ni waholanzi?Ivory coast nipigie Hawa waholanzi mpaka nifurahi
Ndio, walewale tuu hao, Curacao ni nchi iliyo chini ya ufalme wa uholanzi, mkuu wa nchi ni mfalme wa uholanziCuracao ni waholanzi?