comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,131
- 16,171
Ujeru hanaga huruma aisee
Nao lazima watapata goliBeki ya Curacao ni ya hovyo
Anajichongea kupigwa mvuaBonge la bao kutoka kwa Ecuador
Ila wamepata nguvuAnajichongea kupigwa mvua
Uholanzi haoHizi orange majukwaani ndio kwamba Ivory Coast wana mashabiki wengi?
View attachment 3615829
Jamaa baada ya water break wamefufuka hapa ivor coast wakaze tako lah sivyo wataliwa kimokoIvory coast nipigie Hawa waholanzi mpaka nifurahi