Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,434
Wow!!! Bana Congo almanusra wafunge goli….
Colombia wanacheza kwa energy kubwa sana.Diaz anapaswa kukabwa vyema kabisa
Kila la kheri CongoTupo mkuu...
Natamani DRC washinde hii game.
Wanazali lao.Congo wamepoteana kabisa. Wanapelekewa moto mkali. Mpasi Nzau goalkeeper wa DRC kaokoa michomo mikali kama 5 hivi.
Mpaka sasa DRC hawajakaa na mpira hata kwa sekunde 10. Hamna namna hii game lazima wapoteze.
Hapa tunaongea ushabiki tu, sizani kama kunamtu anaweza akawa na chuki na Ronaldo kama unavyofikilia.
Ntaandika kitu kikukele ww shabiki wa CR7 na si kwamba namchukia.
Hongera kwake kwa kumaliza ukame wa mabao.ZILLIONAIRE njoo huku Ronald ana jambo lake