Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,437
Naam! Boston is tea [as the kids say these days].Ghana vs their colonial Masters...
Naona Boston pamechangamka sana
Naam! Boston is tea [as the kids say these days].Ghana vs their colonial Masters...
Naona Boston pamechangamka sana
mbona mbwembwe nying MZEE hana KIPAJI
Hapa tunaongea ushabiki tu, sizani kama kunamtu anaweza akawa na chuki na Ronaldo kama unavyofikilia.Mwanaume hazeeki mkuu au mshausahau msemo wenu? Mnamsakama sana Ronaldo mpaka inashangaza sijawahi ona wanaume wakichukiana kihivi kawaibia nini?
Kutakataka sana penaltLet's breakdown this word
Unaelewa facts iliyopo nyuma ya hilo jina Penaldo?
Tunza maneno, leo Ghana wanashinda hakuna mtu ataamini...Hahahaaa mi nishaacha kuwekeza matumaini yangu kwa timu za Afrika!
Hao Waghana nahisi watafanya madudu yasiyoeleweka hapo uwanjani 😀.
Sawa 😁Hapa tunaongea ushabiki tu, sizani kama kunamtu anaweza akawa na chuki na Ronaldo kama unavyofikilia.
Ntaandika kitu kikukele ww shabiki wa CR7 na si kwamba namchukia.
Nipo, mambo ni vipi?Upo mrembo?