😅😅Achana na hao matahira mkuu, watu wana matatizo mengi hivyo ni kuwaangalia tu! we cheki zako ball tuichafue uzi..
Ni strategy mbaya sana hiyo maana huwezi kufunga magoli ukiwa unajilinda tu muda mwingi.Mbinu! Wamenza kwa kucheza defensive sana
Halafu utajikuta unasababisha makosa yatakayoicost timu kama fouls zitakazoleta penalties au hata kushika mpira na mkono...mbaya zaidi inaharibu ladha ya mpira kwetu mashabikiNi strategy mbaya sana hiyo maana huwezi kufunga magoli ukiwa unajilinda tu muda mwingi.
Lakini unafahamu kwamba kuna mtu juu yake anaye muongoza kwa idadi ya penalti katika kila league waliyokutana?Kutakataka sana penalt
Nyinyi muda wote mnawaza Messi na Ronaldo tu hata wakicheza Yanga na AzamLakini unafahamu kwamba kuna mtu juu yake anaye muongoza kwa idadi ya penalti katika kila league waliyokutana?
Huyo mtu unaweza kutuelezea aliwezaje kuwa na idadi hiyo ya penalti mbele ya mtu mwenye sifa ya "kutakataka"
Yani unaelezeaje hadi ueleweke situation ya mtu mwenye sifa ya "kutakataka" kuzidiwa namba na mtu mwenye sifa ya "kutotakataka"?
Ingekuwepo Kenya ungeishabikia?Nimekupata.
Sasa hapa uko upande gani?
Unajua England ndio chama langu main...
Ila sasa kwa Ghana, nasikia kauzalendo kidogo.