Nawacheki hapa hawajatulia bado.Unawaona Ghana?
Nasinzia duhh 😵Fresh kabisa!
Wacheki Ghana
Hawa watachoka huu mchezo mbaya zaid wanakubali kusogezwa pungufu ya mita kumi kuja golini na wao wakirundikana humo humo.Ghana inawachezaji wazuri ila confidence yakufungua hawana kabisa.
wapi?😳Kuna njemba ilikuwa inakutaka 🤣🤣
Achana na hao matahira mkuu, watu wana matatizo mengi hivyo ni kuwaangalia tu! we cheki zako ball tusichafue uzi..Huko jukwaa la mapenzi
Nimekupata.Achana na hao matahira mkuu, watu wana matatizo mengi hivyo ni kuwaangalia tu! we cheki zako ball tuichafue uzi..