mimi nilijua wote tuko ghana 😆Nimekupata.
Sasa hapa uko upande gani?
Unajua England ndio chama langu main...
Ila sasa kwa Ghana, nasikia kauzalendo kidogo.
Hata hizo winga na straika za England naona nazo ni za kubahatisha tu, sioni utaalamu wowoteHii itawagharimu Ghana
Lala tutakusimulia yaliyojiliNasinzia duhh 😵
Ngoja tutaona mwishoKwa namna yeyote Ghana anatoka mshindi...
Sioni matumainiAnajitahidi Maduke kujaza majalo
Ngoja tusubiri, Lakini Ghana wanashinda hii match...Ngoja tutaona mwisho