Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,657
- 23,134
Aahhh wapi, nimeona hadi 6 packWeeee hujaona! Ilikuwa camera inampitia kwa sekunde tu
Aahhh wapi, nimeona hadi 6 packWeeee hujaona! Ilikuwa camera inampitia kwa sekunde tu
Mi mbona timu Man united? Na MadredeMwanaume hazeeki mkuu au mshausahau msemo wenu? Mnamsakama sana Ronaldo mpaka inashangaza sijawahi ona wanaume wakichukiana kihivi kawaibia nini?
Asavali 😊Hatimaye kikongwe amekosa hat trick.
Shwaaaaaaaa kama upepo!Weeee hujaona! Ilikuwa camera inampitia kwa sekunde tu
Sababu ipi?Leo nimeelewa kwanini Ronaldo ndo anaongoza kwa fans dunian kwa upande wa Wanamichezo.
Hatujazoea hivyo sisi 😂😂😂Shwaaaaaaaa kama upepo!
Nomaaaaaa . Uhalisia unamkataa ataaibikaHatujazoea hivyo sisi 😂😂😂
Kane ana deni lazima alipeTukutane saa tano Ghana Vs England.
I love England but.
I support my fellow Africans
Ronaldo ni sawa sawa na kusema Bidii, nidhamu na ushindi. Vinambatana pamoja ⚽🐐Sababu ipi?
We tatizo haueleweki upo wapiTuwakere sasa.
Let's breakdown this wordMashabiki wa Messi rudini nyuma mniachie hawa mashabiki wa Penaldo. Nawamudu🫠🫠
View attachment 3614340
Hamna kitu hapo hivyo mbona hata kibu anavyoRonaldo ni sawa sawa na kusema Bidii, nidhamu na ushindi. Vinambatana pamoja ⚽🐐