Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Argentina wanachofurahisha anakupa ladha zote, ukitaka pass sawa, ukitaka ugomvi ndio kwenyewe unawakuta majambazi akina Romero, Mac Allister na Enzo
Hata mimi simkubali ila kwasababu zilezile za ushabiki wa mpira namuona ni FIFA PrincessBinafsi Messi huwa simkubali, ila kwa vile ni shabiki wa mpira sikatai kwamba ni miongoni mwa wachezaji bora.
Ila ball leo ipo standard, subiri tuoneKuna kitu Austria hawajaelewa.
Haina haja yakupishana nao.
Hivi hawa watafungwa na nani jamani? Au Germany?Wakavunje miguu
Wapo ufaransaHivi hawa watafungwa na nani jamani? Au Germany?
Siwaamini hawa hata kidogoWapo ufaransa
Utachukiwa na dunia nzima hadi malaika watakuchukia.Wakavunje miguu