100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,115
- 36,173
Possession na passes Senegal wameizi Norway, shida eneo la ulinzi wapo hovyo..
Si unajua wachezaji wa Africa kwa ku fake umri.. Kuna watu wana miaka 30 wanacheza under 17 ... 🤣🤣Huyo beki ana umri gani mbona kama amechoka sana
Senegal jamaniHizi rekodi zilizotengenezwa kwa miaka 16 ni rekodi ambazo Mbappe atazifukia kwenye single tournament na hakuna media itayompa mileage.View attachment 3613473
Si wa kuwachukulia Poa..Dogo Halaand ana magoli 4 mapaka sasa..Siamini hadi Norway wanatulamba kalio
Hawako serious na mashindano..Senegal wapo vizuri, wanapiga mpira umetulia sijui shida ni nini..
Au mkuu umeonaje, Senegal wamepiga mpira kuliko Norway..Hawako serious na mashindano..
Hapo bado Kane hatariTayari wote wana mbili
Kwisha habari yaoHali yao mbaya,watafuzu kweli hawa?
Kabisa..Haya ni mashindano ya Messi na Mbappe
Wengine ni kama wasindikizaji😂