Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,021
- 39,513
Senegal tunataka droo tu
Hali yao mbaya,watafuzu kweli hawa?Chumaaa
Norway 2 Senegal 0
Senegal hawatoboiHali yao mbaya,watafuzu kweli hawa?
Huyo beki ana umri gani mbona kama amechoka sanaSenegal hatoboi..
Bonge la goli, kipa asilaumiwe hio ngoma huwezi kuifuata..Kambaaa