Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,257
- 35,534
Bila mishuti unaweza kuzani Valverde ni Injinia anakagua ujenzi.
Hii debate nilishaimaliza toka juzi, nilikuwekea hoja za maana hapa ukashindwa kuzijibu ukabaki kumwita mtoto wa watu "dwarf"... sasa tutajadili nini hapo.Tatizo haujikiti kwenye hoja na kufanya huu mjadala uonekane kama malumbano ya watu wawili wanaoshindana ku type haraka.
Fanya namna tuyaongee hvyohvyoHii mechi ingekuwa Morocco vs new Zealand dahh tungekuwa tunaongea mengine
Aaah aah sorry usingiziiiii na hii pressure ya game mkuu.SamahaniToa wenge master.
Ushachanganyikiwa.
Yani nimejibu haraka sn,halafu nikajua ni seran kanijulia hali. Usighafilike ndugu yanguNimekuelewa sana Mkuu