Yaani hizi mechi ambazo sikuwa nimezipa umuhimu wa kuzitazama ndo zimekuwa mechi bora 😀.Cape Verde nilisema toka awali
Timu tatu za Africa: cape Verde ilikuwepo
Hii gemu NI nzuri Sana Hasa kama hujabeti
Bonge moja la mechi cape Verde wamekataa unyonge NI byuti byutiYaani mpaka hivi mechi ambazo sikuwa nimezipa umuhimu wa kuzitazama ndo zimekuwa mechi bora 😀.
Sijutii kushabikia Cape Verde. Mpira burudishi sana wanapiga.Ufaransa. Underdog wangu Cape Verde. Natumaini hawajaacha ule mpira wao mzuri.