Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,385
Wamisri tuna balaa
Pamoja sana mkuu...Yani nimejibu haraka sn,halafu nikajua ni seran kanijulia hali. Usighafilike ndugu yangu
Hii atashinda IranIran vs Egypt
Hah sipo kokote mkuuPamoja sana mkuu...
Ila sasa upo kwa Seran au kwa ShesRise_1 au imani inaruhusu kucheza kote kote?😀😀
Iran atachakaaHii atashinda Iran
Wapi wakati Tunisia,Jordan na Saudi Arabia hawaendi kokoteNgoma inanoga waarabu wote 32 bora
Me nahisi watawaachia Al Muslim Muslim mkuuIran atachakaa
Iran sio waarabu hata hivyo naona haendi kokoteNilimaanisha Iran na Misri.
Kundi moja
Sio uoga ila limitations ni nyingi.Daah! Nilishakuambia kuhusu uoga wa kuzichakata.
Acha uoga
Hakuna hao wapigweMe nahisi watawaachia Al Muslim Muslim mkuu
Mimi nadhani Egypt wapo vizuri kuliko BelgiumKwanini aisende?
Kama aliweza kumzuia Belgium atamshindwa Misri?