Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,692
- 130,528
Sasa ninja hapo unakuwa umetoa mfano gani sasa?Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?
Kwani Ronaldo huko Saudia ameenda kuchezea timu ya Taifa au Club?
Kwasababu naweza kuku challenge.
Tanzania katika ligi bora level ya Vilabu tumewazidi Ivory Coast, Nigeria, Tunisia, Ghana, Kenya nk.
Je hiyo inamaanisha kwamba Simba na Yanga katika ubora wamezidiwa na Rivers United?