2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hao wote wanatamani wawe wake wenza wa Georgina yaani wanamuonea sana wivu kuchezea mauno ya Ronaldo kila kona lazima wamtaje. Wanawashwa washwa sana. Kila kona wao hadi nyuzi mia mia wamemuanzishia. CR7 anawaumiza wengi na wala hana mbeleko kama princess wao
Mashabiki wa Pessi sijui kwanini huwa mnapenda kuongea mambo bila data

Kaangalie ranking za League bora utaona MLS anayochezea huyo Dwarf imezidiwa na SPL ya the real GOAT achana na FIFA Princess.

MLS intensity yake haijatofautiana sana na NBC
 
IMG_9168.jpeg
 
Back
Top Bottom