Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,599
- 97,119
Kuna dalili za goli au?Sio mchezo
Kuna dalili za goli au?Sio mchezo
Kijerumani hicho maana yake "Bingwa wa Safari hii atapatikana kwa shida sana".Nini hiki tena?
Red?Ngoy anakula umeme
Trossad anafanyeje huko?Spain wako Asia kwani?
Yes ni kijerumani maana yake "Bingwa wa Safari hii atapatikana kwa shida sana".Hiki kitakuwa kijerumani nikikiona nakijua ila sijui kusoma
Ebu elezea kidogo siangalii mechiHuyo Jamaa katafuta Red card muda sana. Sasa kaipata akapimzike Hotelini
Ni kweli wametoka draw lakini ulivyoiwasilisha imenibidi nicheke.Kwan uongo mwanetu..?
Halali kabisa, limetetemeka miguu teremi akamuwahi dogo likamshika asiondoke, last defender kamzuia mchezaji wa Iran kufungaHii red mbona sijailewa jamani.
Bingwa si Ureno au ArgentinaYes ni kijerumani maana yake "Bingwa wa Safari hii atapatikana kwa shida sana".