uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,388
- 30,654
- Thread starter
- #5,221
Sahihi!Iran 🇮🇷 wamecheza vizuri sana first half japo kuna makosa madogo madogo sana yanaweza kuwagharimu hapo baadae hasa kwenye indivifual marking na penetration passes zinazofanywa na Belgium 🇧🇪
Wao wameamua kufanya defensive game na kujaribu kwa Kaunta attacks