2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hawa Saudia ndo maana Ronaldo alikimbilia kucheza ligi ya huko maana anafanana nao... naona tu mavitambi uwanjani..
Mashabiki wa Pessi sijui kwanini huwa mnapenda kuongea mambo bila data

Kaangalie ranking za League bora utaona MLS anayochezea huyo Dwarf imezidiwa na SPL ya the real GOAT achana na FIFA Princess.

MLS intensity yake haijatofautiana sana na NBC
 
Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?
 
Je wajua kwamba Dwarf kwenye Copa America amefanikiwa kucheza fainali 5?
Screenshot_20260621-161707.png
Screenshot_20260621-161707.png

Yaani 2007, 2015, 2016, 2021 na 2024

Na je wajua Kwenye hizo fainali kupitia mguu wake wa kushoto, wakulia pamoja na kichwa amefanikiwa kufunga mabao 0?
 
Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?
Sasa ninja hapo unakuwa umetoa mfano gani sasa?

Kwani Ronaldo huko Saudia ameenda kuchezea timu ya Taifa au Club?

Kwasababu naweza kuku challenge.

Tanzania katika ligi bora level ya Vilabu tumewazidi Ivory Coast, Nigeria, Tunisia, Ghana, Kenya nk.

Je hiyo inamaanisha kwamba Simba na Yanga katika ubora wamezidiwa na Rivers United?
 
Back
Top Bottom