Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,091
- 15,512
Nina ndugu Iran mzee! Mimi nipo na Iran kwa hali yoyote 😁Sisi tupo upande wa Haki
Nina ndugu Iran mzee! Mimi nipo na Iran kwa hali yoyote 😁Sisi tupo upande wa Haki
Nakwambia sasa hivi fans wa pessi uwaambii kituAloo mi nimesema Belgium ni Ujerumani?
Ni hawa mashabiki wa Pessi ndio wanaonitoa kwenye fokasi
Sasa Iran atafika wapiNina ndugu Iran mzee! Mimi nipo na Iran kwa hali yoyote 😁
Shabiki wa Penaldo una matatizoAloo mi nimesema Belgium ni Ujerumani?
Ni hawa mashabiki wa Pessi ndio wanaonitoa kwenye fokasi
Yaaan wanakera sanaMwamba anagawa dozi kwa facts
Unamjua?Sababu ya kujiita Al Mukheef ni ipi? Kuna historia na hilo jina?
It was mistake sikuona vizuriMjerumia gan unamzungumzia..?
Hili group ndo watakuwa wanatoa sare kila sikuHata suluhu tu kwake ni ushindi huo.
Ww hujui sio bahati mbayaIt was mistake sikuona vizuri View attachment 3612721
Popote atakapofikia hakuna shida! Muhimu nipo pamoja nao.Sasa Iran atafika wapi
Na kutojua sio dhambiWw hujui sio bahati mbaya
Al Mukheef maana yake ni "wa kutisha" au "wa kuogopeka".Unamjua?
Ndiye mimiAl Mukheef maana yake ni "wa kutisha" au "wa kuogopeka".
Kwa kiarabu lakini maana yake.
🙌Ndiye mimi
Watafungwa New ZealandKuna mtu atafungwa tu.