Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,599
- 97,120
Ureno hamna kituBingwa si Ureno au Argentina
Ureno hamna kituBingwa si Ureno au Argentina
Hiyo sura kama marangu moyaaHuyu Ngoy ni mchaga wa Marangu au Kibosho?
Mara paap JapanBingwa si Ureno au Argentina
Nimeona wao wanafanya vzur labda kwasababu hawana ngozi chafuTokea mwanzo?
Ubelgiji na Ufaransa ni wezi wa wachezaji wa AfrikaHuyu Ngoy ni mchaga wa Marangu au Kibosho?
Achana nayoHii red mbona sijailewa jamani.
Hatuchezi karate hukuMara paap Japan
Eeh 🙌Alikuwa Mchezaji wa mwisho huyo Teram! So ni red card inafanana kabisa na ya Yoro wa Azam
Sisi makobaz tunawaua Leo mashoga wa kibelgijiLeo umekuja na ngozi chafu! Juzi ulikuja na saga la uislam
Labda wataamkaUreno hamna kitu
Umeona mechi yao ya mwisho?Hatuchezi karate huku
Labda ni mchagaNgoy ni jina la Uchagani kabisa