Una bahati mbayaUbelgiji
SawaDakika 17
Iran wanacheza mpira wa ki intelligence sana.
0-0
Hata Egypt ajipange kwa Iran aiseeDaaah wananipa mzuka balaa
Ukishalewa ukalale,Sasa Germany Leo anacheza wapi😁😁😁 siku nyingine uangaliziege mpira nyumbani sio kila siku barWamekosa goli Germany kwenye ile piga nikupige
Germany ni kama wanataka kumaliza fisrt half hii mechi
Kwamba Egypt watafungwa ama?Watachezea tu
Hakuna boli lolote wamepjga zaidi ya counter attack na hicho ki set piece ambacho kilileta goli la offside.Offside.
Ila Iran wanapiga ball