comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,131
- 16,149
Duh! Kweli Germany machine, hiyo pass đź‘€
DahAngalia huko.
Hit 3 goli 2 UNDAV
Hao germany wenyewe hawafiki mbali hii mechi ivorycost angetulia alikuwa na goli 3 leoDuh! Kweli Germany machine, hiyo pass [emoji102]
Kunanini!?Heheheeee si mmeona.:…..
sishabikii timu za ngozi nyeusi tena , hawajitambua kabisa Bora niende na Morocco tu 🚮 🚮Ivory Coast wamechezea fursa nyingi za kufunga magoli.
Sasa wanaenda kushindwa hii mechi.
Pole sana baba Abdul..Nakaa macho kushuhudia mausenge kama haya.