Eti refa, watu mnaangalizia mpira bar ee 😁😁Refa wa hawa Tembo amekosea sana kumtoa Amad.
Dah.. ngoja tuoneInaishaje hii, GG tayari
Jamaa wana winga za hatari, kati wapo safi, safu ya ulinzi ipo vizuri, lakini mbele hamna kitu...JAmaani hawa Ivory cost wanawenge
Miafrika!!Whyyyyyyy didn't he hit it. ????