2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Still bado mapema kufanya judgement, nakumbuka Argentina 🇦🇷 alifungwa na Saudi arabia 🇸🇦. Lakini bingwa akawa Argentina. Mwaka 2018 Ronaldo alipata hatrick, mechi ya kwanza dhidi ya hispania. Hivyo mie nachojua lolote baya au zuri, ni kawaida sana kutokea kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
 
Nani huyu?😂😂
IMG_0623.jpeg
 
Ureno wakiweza kumuweka benchi Ronaldo watafika mbali sana maana anawakaba
Mkuu hata Kocha aliyepita Fernando Santos alimvumilia sana Ronaldo, baadae akaona huu upuuzi akanza kumweka bench.. Kilichomkuta akafutwa kazi... Haya maisha inabidi ubalansi professionalism na kaunafki...

We angalia Brazil, Carlo Ancelot alikua hataki kumwita Neymar.. Baadae skaona mashabiki nchi nzima wana mind Neymar aitwe... Baadae akaona hawa mafala niwape wanachotaka ili niendelee kulinda kibarua changu... Sasa hv ukiangalia Neymar mwenyewe wachezaji ni full injury na hata angecheza hana mchango wowote wa maana..
 
Back
Top Bottom