ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,140
Rafa ameoa Ujerumani 🤣🤣🙌Refa anafanya bidii kuwatafutia Goli Wajerumani
Rafa ameoa Ujerumani 🤣🤣🙌Refa anafanya bidii kuwatafutia Goli Wajerumani
Mkuu ulitegemea Wajeruman wawe na nne asaivSikutegemea kabisa hii mechi iwe hivi…..
Wewe ndo uko huko hivi jua ni kali sana.?Sikutegemea kabisa hii mechi iwe hivi…..
Akizaa anazaa dume usiku mwemaDah! Basi tena tembo wa masikini hazai.
SahihiIvory Coast wamechezea fursa nyingi za kufunga magoli.
Sasa wanaenda kushindwa hii mechi.
Macho yameanza kuwa debwe debwe..Akizaa anazaa dume usiku mwema
Unashindwa kufunga nafasi za wazi ukidhani utaacwa ngoja wamalize kunywa maji waongezweMacho yameanza kuwa debwe debwe..
KUwa Mvumilivu kuna goli la Amad hapa,Unashindwa kufunga nafasi za wazi ukidhani utaacwa ngoja wamalize kunywa maji waongezwe
Ndo kwanza wanamtoa Amad. Shesrises we lala tu.kesho uwahi ibada ya KwanzaKUwa Mvumilivu kuna goli la Amad hapa,
🤣🤣🤣🤣 aloo mpira una kwaza 🙌Ndo kwanza wanamtoa Amad. Shesrises we lala tu.kesho uwahi ibada ya Kwanza