2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wewe Mnywa Visungura Mimi sitakubloc hata niwekewe dau kubwa mezani , inabidi niwe naona reply zako ili niwe nakurekebisha na kukutongoza kwenye njia ya sawa ..

Uzuri wewe ni mlevi mstaarabu hautukani watu hovyo na unajitambua ndio maana sikukatii tamaa na nitaendelea kukurekebisha....
Unatongozaje mwanaume tena kipande Cha baba chenye uboo imara, au ndio mnavyofundishwa msikitini.
 
Tell me whatchu see

FB_IMG_1781944943096.jpg
 
Casemiro kahamia Timu ipi??

Naona unachemka haraka hili jukwa huru mkuu kuanza kushushana heshima sio issue

Casemiro kahamia Timu ipi??

Naona unachemka haraka hili jukwa huru mkuu kuanza kushushana heshima sio issue

Casemiro ali declare tangu mwanzo kwamba hatoongeza mkataba na kuwa dirisha kubwa atatimka.

Na mpaka sasa kama hujui Casemiro kaenda Inter Miami huko Marekani kuchukua mafao yake
fabriziorom_20260620_143402_774.jpg


Screenshot_20260620-143707.png
 
Back
Top Bottom