Katika kuengage kwenye mijadala mbalimbali humu JF watu niliokutana nao wabishi na hua hawataki kushindwa wapo watatu.I would do the same
View attachment 3611805
🫠Chumaaaaa cha pili
Duh!!Katika kuengage kwenye mijadala mbalimbali humu JF watu niliokutana nao wabishi na hua hawataki kushindwa wapo watatu.
Halafu kila mada tunayokutana wewe hua kinyume na mimi.. naona we're destined to be rival
- Scars
- Zurri
- Kiranga
View attachment 3611964