tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Ndo nn hii? Lala please upate energy ya asubuhi jumuiyaLol 😆 au wewe muwekezaji
Ndo nn hii? Lala please upate energy ya asubuhi jumuiyaLol 😆 au wewe muwekezaji
Pumzika pleaseNalala baado kidogo
Muda si mrefu Morocco wanarudi nafasi ya 2 😂Brazil 5 Haiti 0
SitakiiiiNdo nn hii? Lala please upate energy ya asubuhi jumuiya
Haya acha nilalePumzika please
Jamaani wewe,lala kidooogo ngozi iongezeke kuwa soft zaidi hiyoSitakiiii
😁😁 byeeJ
Jamaani wewe,lala kidooogo ngozi iongezeke kuwa soft zaidi hiyo
Hapo sawa,ulale salama uamke ukiwa na nguvu na afya njemaHaya acha nilale
Asantee 🙏Hapo sawa,ulale salama uamke ukiwa na nguvu na afya njema
😁😁 byee
Unapenda ligi za kipuuiz, mindset yako imekaa kibaguzi na kichwani kwako yamejaa mawazo ya ubaguzi. Ndio maana kila unachoona mtu kaandika kuhusu mechi ya timu za kiarabu hisia ya kwanza hukupeleka moja kwa moja kwenye mambo ya ubaguzi.Kati yangu mimi na wanaoishabikia scotland, senegal, france, brazil dhidi ya Morocco/waarabu ni nani mbaguzi?