BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
We jamaaa seems mbaguzi sana
Kati yangu mimi na wanaoishabikia scotland, senegal, france, brazil dhidi ya Morocco/waarabu ni nani mbaguzi?
We jamaaa seems mbaguzi sana
Waleku muislamuAsalamalekoo
Kabisa majamaa wanajua boliSana watu wanakimbia...
Jaribio linatengenezwa na Morocco hapa ...
Wanakosa nafasi wazi kabisa hapa Morocco
😅😅😅 nina nyuzi nyingi mnoo ukiacha huo na hua una comment ndio maana nikasema wewe ke na kujuaNdo hivo,halafu masikini.
Nimeona uzi wako wa "kumficha baba wa mtoto kuwa una mimba"
Hapana kaka, nipo live hapa,naogopa sana mapenzi.Mkuu!! Ndio PM ama? 🤣🤣🤣
Sawa me nina heshima sana kwa watu wa humu, hata sister ShesRise namheshimuMkuu!! Ndio PM ama? 🤣🤣🤣
Kumbe nimechangia mada zako,basi ni mada nzuri😅😅😅 nina nyuzi nyingi mnoo ukiacha huo na hua una comment ndio maana nikasema wewe ke na kujua
ExactlyWanacheza strategically viungo wamejipanga vizuri...
Una yako weweWanatakiwa kupata goli la pili wawe na uhakika kabisa
YesKumbe nimechangia mada zako,basi ni mada nzuri
Namheshimu banaa,halafu naanzaje kwa mtu simjui,hanijui.Halafu me masikini kakaEndelea kuogopa otherwise utakufa vipaya wewe....😀😀😀
Natania bana...
Chonga na mrembo hapo.
Tupo world cup sisi
Basi jambo zuri
🙌🙌Si umeona mpira unachezewa katikati. Na mara nyingi wanaingia kwenye boksi