SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 11,128
- 3,740
Hawa hawatoboi nafasi nyingi hawana.meno wangekutana na england tu hapa wangeisha tatz scot nae hana wafungajiHuu mpira wa Morocco hawafiki mbali. Wanacheza show game. Pasi fupifupi pamoja na back passes za nini?