Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Huyu refa kiboko
Hana meno nafasi nyingi sna.Alicheza poa sana kipindi cha kwanza
😅😅ulilala?
Daah ziisheDakika 6 nyongeza
Na wasifikeHuu mpira wa Morocco hawafiki mbali. Wanacheza show game. Pasi fupifupi nyuma za nini?
Halafu wanakosa nafasi za waziiiiKabisa
Ni kwasababu wanakaa na mpira muda mwingi bila mikakati, matokeo yake muda wote wanakuwa mchezoni na wakipoteza mpira wanapaswa kukimbia sana.Wanakata moto